Mwanasheria Mkuu ajiuzulu Mwanasheria Mkuu wa nchi ya Kenya Profesa Githu Muigai amejiuzulu cheo hicho mchana wa leo baada ya kutumikia nafsi hiyo kwa muda wa miaka sita na nusu. Read more about Mwanasheria Mkuu ajiuzulu