Zidane atabiri kufukuzwa Madrid Kocha wa Real Madrid Mfaransa Zinedine Zidane amesema hana presha na kazi yake kwani anajua hawezi kuwa kocha wa timu hiyo kwa miaka kumi hivyo utafika muda atafukuzwa. Read more about Zidane atabiri kufukuzwa Madrid