Sababu za CHADEMA kupigwa mabomu zaanikwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Jumanne Murilo amekanusha habari za polisi kuvamia ofisi za CHADEMA zilizopo maeneo ya magomeni na kusema kuwa wao walirusha mabomu ili kutawanya watu waliokuwa wakiandamana kwa mwamvuli wa vyama vya siasa.
