Maisha ya Wastara yabadilika
Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amefunguka na kudai maisha yake yamebadilika tokea alipopata ajali kwa mara ya kwanza na kuwa ya kusaidiwa kwa asilimia kubwa na watu wake wa karibu pamoja na wananchi kiujumla wanaoguswa na kuugua kwake.

