Jeshi la polisi ladai wezi wamehamia digitali
Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa amedai kwamba pamoja na kwamba sikukuu ya Krismas kupita kwa amani pasipo matukio ya uhalifu, anaamini kwamba hali ya maisha imebadilika hali inayowafanya wahalifu