Harry Kane awaongelea Messi na Ronaldo Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane amesema kitendo cha kufananishwa na wachezaji kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ni jambo kubwa maishani kwake na ataendelea kuhakikisha anakuwa bora siku hadi siku. Read more about Harry Kane awaongelea Messi na Ronaldo