Waziri Mkuu atoa agizo kwa TANESCO Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Meneja wa TANESCO wilaya ya Ruangwa, Bw. Samuel Pyuza kuhakisha umeme unapatikana mapema kwenye pampu ya maji ili kukamilisha mradi wa maji wa Namahema ‘A’. Read more about Waziri Mkuu atoa agizo kwa TANESCO