Simba wakabidhiwa tuzo na balozi Balozi wa Uturuki nchini Mh. Ali Davotuglu amewakabidhi tuzo na medali, wachezaji ambao wamepata mafanikio katika mechi mbalimbali za timu hiyo ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Disemba. Read more about Simba wakabidhiwa tuzo na balozi