DAWASCO yakubali kulipa fidia

Mamlaka ya maji safi na maji taka jijini Dar es salaam DAWASCO imesema itamlipa fidia mmiliki wa nyumba iliyoungua moto jana maeneo ya Buguruni kutokana na moto uliosababishwa na shughuli za mamlaka hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS