Mwigulu asema sababu za Upinzani kugomea uchaguzi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Mwigulu Nchemba amezindua kampeni za Chama cha mapinduzi katika uchaguzi mdogo jimbo la Longido unaotarajiwa kufanyika January 13, 2018 na kusema kwamba wapinzani wameogopa kushiriki kwa sababu wataachwa mbali sana.