Timu ya Kikwete yaifunga Man United

Klabu ya soka ya Manchester United leo imekubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa klabu ya Newcastle United ambayo inashabikiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS