NEC yatoa tamko kuhusiana na uchaguzi

Zikiwa zimebaki takribani siku tano kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa marudio katika Jimbo la Kinondoni, Siha na Kata nane Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imedai maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa pamoja na kutatua changamoto ndogo ndogo zinazojitoka

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS