TCRA yamtosa Mzee Mrema
Baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini, Mh. Agustino Lyatonga Mrema kusema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi TCRA kwa watu waliomzushia taarifa za kifo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imemuelekeza kiongozi huyo ;