Siri ya ndoa ya Shilole yafichuka
Msanii wa muziki na filamu bongo ambaye sasa amegeukia ujasiriamali, Zuwena Mohamed au Shilole, ametoa siri iliyomfanya akubali kuolewa na mwanaume ambaye anamcha Mungu kwa kuswali swala 5, wakati yeye akiwa ni msanii ambaye hakauki skendo.