Ester Bulaya alia na fao la kujitoa

Esther Bulaya.

Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Esther Bulaya amesema bado lipo hitaji muhimu la kuwepo fao la kujitoa kwani linaweza kumtoa mwanachama kwenye umaskini wa kipato.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS