Yanga yatangulia, Chirwa akikosa Penalti
Mabingwa wa soka nchini klabu ya Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya Saint Louis Suns United ya Shelisheli kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Africa, mchezo ambao umemalizika jioni hii uwanja wa Taifa.

