Utaratibu ukipoteza cheti cha form 4
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, William Ole Nasha, amefafanua kuwa Baraza la Mitihani hufanya mchakato wa kutoa vyeti mbadala au uthibitisho kwa mtu aliyepoteza vyeti orijino ndani ya siku 30.

