''Huwezi kupewa haki nyingine''- Mwijage Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amekiri ni kweli serikali ya Tanzania inadaiwa na viwanda vya ndani huku akidai wanaosababisha deni lisilipwe ni watanzania wasiolipa kodi. Read more about ''Huwezi kupewa haki nyingine''- Mwijage