Akamatwa na mitambo minne ya gongo Jeshi la Polisi mkoani Manyara limesema limekamata mitambo ya kutengenezea pombe haramu ya gongo pamoja na lita 85 za pombe hiyo, ambayo ni kinyume na sheria za nchi. Read more about Akamatwa na mitambo minne ya gongo