Akamatwa na Cocaine Airport DSM

Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege jijini Dar es Salaam, limemkamata raia wa Nigeria Christian Ugbechi (26) akiwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS