Manula ndio nguzo ya Simba ? Golikipa wa vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC Aishi Manula amefanikiwa kujiwekea rekodi ya pekee tangu ajiunge na klabu hiyo mwezi Juni 2017 akitokea Azam FC. Read more about Manula ndio nguzo ya Simba ?