Haji Manara afunguka baada ya kuzushiwa kifo Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara amesikitishwa na taarifa za kuzushiwa kifo zilizosambaa mitandaoni wakati yeye ni mzima kabisa. Read more about Haji Manara afunguka baada ya kuzushiwa kifo