Chirwa arejea na kuibeba Yanga Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu raundi ya 15 dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Azam Complex. Read more about Chirwa arejea na kuibeba Yanga