Asante Kwasi anavyozivuruga Singida na Simba Klabu ya soka ya Singida United inaelekea kuharibu mipango ya usajili wa mlinzi wa Lipuli FC Asante Kwasi kutua ndani ya klabu ya Simba baada ya kuweka wazi kuwa mchezaji huyo yupo kwenye himaya yao. Read more about Asante Kwasi anavyozivuruga Singida na Simba