Baraka akiri tuhuma

Msanii Baraka The Prince amekiri kupigwa na maisha na kushuka kimuziki kama ambavyo baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimlaumu, na kusema kuwa jambo hilo ni kitu cha kawaida kwa binadamu yeyote, huku akisema sababu kubwa ikiwa ni kukataa baadhi ya show

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS