''Simba tuna nafasi moja tu''
Kocha msaidizi wa klabu ya soka ya Simba Masoud Djuma amesema siri ya timu hiyo kupata matokeo kwenye mechi za ligi kuu ni kutokana na kutegemea ubingwa wa VPL pekee ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa mwakani.

