Aliyekatwa masikio kwa kulawiti akamatwa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga  Simon Haule amethibitisha kuwa Jeshi la Polisi Mkoani kwake linamshikilia kijana Msigala Salum (24) kwa tuhuma za kumlawiti mtoto  mwenye umri wa miaka mitatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS