Waliosamehewa na Rais watoka jioni hii Baada ya Rais Magufuli kutoa msamaha kwa familia ya Nguza Viking na wafungwa wengine leo, tayari Nguza Viking na mwanae Johnson Nguza wametoka katika gerezani la Ukonga jioni hii. Read more about Waliosamehewa na Rais watoka jioni hii