Zanzibar Heroes yatangulia Timu ya taifa ya kandanda ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya fainali ya CECAFA Senior Challenge baada ya kutoka suluhu na Kenya jioni hii. Read more about Zanzibar Heroes yatangulia