Waziri amsimamisha Mhandisi

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwene amemsimamisha kazi Mhandisi Goyagoya Mbena kwa tuhuma za kusaini barua ya kuruhusu ujenzi wa mradi wa Maji wilayani Nkasi mkoani Rukwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS