Mr. Paul asimulia alivyodhalilika
Msanii wa muziki wa bongo fleva Mr. Paul ambaye kwa sasa anaishi nchini Australia, amekiri kutokea kwa tukio ambalo lilimdhalilisha sana siku za nyuma mpaka kuandikwa kwenye magazeti, na kusema ni kitu ambacho hatokisahau na ilikuwa aibu kubwa kwake.