Waziri afanya uteuzi Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mh. Charles Mwijage amewateua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mbolea Tanzania TFC kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Disemba 1 2017. Read more about Waziri afanya uteuzi