Banana awaacha watoto wake wenyewe Umaarufu wa msanii usiulete katika familia acha watoto wachague wenyewe, hayo amesema leo msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Banana Zoro katika "interview" na East Africa Radio. Read more about Banana awaacha watoto wake wenyewe