Hanscana kuokoa ajira za vijana ndani ya sanaa
Muongozaji wa video za muziki nchini ambaye kwa sasa ameshika chati Bongo, Hanscana amefunguka na kudai kuwa kutegemea kukopi vitu vya kutoka nje ya Bongo kama vile nchi za Afrika kusini ni kuua ajira za watu wengi wa Afrika Mashariki.