Arusha kuchukia uimbaji, Lord Eyez afichua siri
Msanii wa hip hop anayesumbua na hit ya 'Hela yangu' King Izzy ' Lord Eyes amefichua siri ya mkoa wa Arusha kutokuwa na waimbaji wa nyimbo laini kuwa ni kwa sababu ya kukosekana kwa 'insipiration ya waimbaji katika mkoa huo.