Simba yazinasa mezani pointi 3 za Kagera Kikosi cha Simba Klabu ya Simba imepewa rasmi pointi 3 na mabao matatu baada ya kushinda rufaa yake dhidi ya Kagera Sugar wanaodaiwa kumtumia mchezaji aliyekuwa na kadi tatu za njano kinyume cha kanuni. Read more about Simba yazinasa mezani pointi 3 za Kagera