Benchi la ufundi la Simba likiongozwa na kocha mkuu Joseph Omog (wa kwanza kushoto).
Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, amepanga kuitumia michuano ya Kombe la SportPesa kwa ajili ya kukijenga zaidi kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao.