Neddy : Dogo Janja hana adabu
Msanii Neddy Music anayefanya poa na ngoma ya 'Doze' amejibu kejeli ya Dogo Janja kwamba hajui kuvaa kwa kusema kuwa msanii huyo hana adabu kwa watu wazima ndiyo maana ameweza hata kutoa kauli hiyo kwake ambaye ni kaka yake kwenye mitupio.

