Hakuna wa kushindanishwa na mimi - Chemical Chemical Rapa wa kike bongo anayesumbua na ngoma ya 'Queen of Dar es salaam, Chemical amejinadi kuwa hakuna rapa wa kike aliyepo kwenye game mwenye uwezo wa kushindana naye kwa upande wa kuandika mashairi. Read more about Hakuna wa kushindanishwa na mimi - Chemical