Magufuli afunguka anavyomkumbuka Ndesamburo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Mbunge mstaafu wa Jimbo la Moshi mjini Mzee Philemon Ndesamburo kilichotokea asubuhi ya leo.

