Mashabiki Yanga wamtolea 'povu' Obrey Chirwa

Obrey Chirwa

Mashabiki wa Yanga wameonesha kuumizwa na taarifa ambayo imetolewa na klabu ya Yanga ambayo inaonesha mshambuliaji wao Obrey Chirwa hawezi kuongozana na timu hiyo kwenda nchini Algeria katika mechi ya marudiano dhidi ya MC Alger.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS