VIDEO : Treni ya kisasa yazinduliwa Kenya Treni ya Madaraka Express ambayo uzinduzi wake umefanyika leo Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo amezindua treni ya kwanza ya abiria katika reli mpya ya kisasa {SGR} iliyojengwa kutoka Mombasa hadi Nairobi. Read more about VIDEO : Treni ya kisasa yazinduliwa Kenya