Upendo Nkone ataja sababu ya kutumia mkorogo

Upendo Nkone - Msanii wa Injili

Msanii wa Injili nchini Upendo Nkone amekiri kuwa ni kweli alikuwa anatumia mkorogoro (anajichubua ngozi) lakini hivi sasa ameacha kufanya hivyo baada ya mashabiki wake kumjia juu na kutaka aachane na mambo hayo ya kujichubua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS