Baraka awataka mashabiki wasimpangie

Baraka The Prince

Mwanamuziki wa RnB anayetamba na ngoma ya 'Acha Niende' Barkah The Prince amewaonya mashabiki wasimpangie maisha binafsi na kwamba wao kinachowahusu kutoka kwake ni muziki mzuri, video pamoja na kuwaandalia Show za kuwapa burudani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS