Tanzania ya viwanda hamuiwezi - Lema

Godbless Lema

Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Mhe. Godbless Lema amefunguka na kusema serikali ya awamu ya tano haiwezi kuibadili Tanzania na kuwa nchi ya viwanda kwa sababu fedha zilizopelekwa katika sekta hiyo ni ndogo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS