VIDEO: Mimi siyo mwizi - G Nako
Rappa kutoka kundi la Weusi G Nako mwenye 'hit song' ya 'Ma Ole' amefunguka kuhusu tuhuma za kushiriki katika ngoma za wizi kwa kukanusha kwamba hajawahi kufanya hivyo hata siku moja japokuwa ala za muziki mara nyingi huwa zinafanana.

