Mimi ndiye chimbuko la Young Killer - Azma Mponda
Msanii anaye tamba na wimbo wa 'Garagasha' Azma Mponda amedai yeye ndiye chimbuko la msanii Young killer ambapo baada ya kumshirikisha katika wimbo wa 'Saa mbovu' ndipo msanii huyo nyota yake ilianza kung'ara na kupata fursa ya kuonekana