Sijavaa gauni la bosi - Harmorapa

Msanii Harmorapa ambaye sasa ana 'trend' na moja ya video ikimuonyesha akicheza wimbo akiwa amevaa gauni amefunguka na kusema yeye hajavaa gauni la bosi wake kama ambavyo watu wanadai bali yeye amevaa nguo ya kawaida katika video hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS