Rungu la Bodi ya Mikopo latua Dawasco Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB) imetangaza azma ya kuifikisha mahakamani Kampuni ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) kama isipolipa deni lake la shilingi milioni 124 ndani ya siku 7. Read more about Rungu la Bodi ya Mikopo latua Dawasco