Rooney atemwa England, kocha afunguka

Rooney

Wayne Rooney ameachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Uingereza kwa sababu, kuna wachezaji wengine wana viwango zaidi yake, anasema kocha wa Uingereza Gareth Southgate.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS